Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi 0688890887.View attachment 2745222

Hiyo hela kwa hapa bongo hawachukui hata uwe nazo kumi ambapo itakua sawa riali moja bado hawataki kiufupi hawachukui hivyo sent sent wanaanzia riali kamili
Baisa ni pesa ndogo sana,pesa ya OMAN inayobadilishika kirahisi ni rial,na ndio pesa yenye thamani,Rial 1=1000 baisa,maana yake wewe hapo una Rial 0.1 ambayo kwa pesa ya tanzania ni sawa na 650 tu,nani akubali kubadili?