Mkuu,
Huenda kipato chako bado hakikutoshi na hakiwezi kutosha ntu wa pili, huo sio ubahili. Ni uwezo mdogo tu, hivyo unajiuliza namna gani unaweza kutoa wakati wewe mwenyewe hujajipata.
Bahili ni yule anacho na kutoa hataki/hawezi kwa namna yoyote ile.
Jitathmini kwanza kama ni ubahili au uwezo mdogo. Ukipata jibu karibu chama cha mabahili Tanzania.