Tuzidi kumuomba Mungu mkuuKwa mpango wa Mungu tutabaki salama kabisa
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] sijui aliondoka na nyaraka kiasi gani... Watu kama hawa unamaliza kimyakimya tuu
La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo hayawekwi kwenye public domain
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana
Mungu ibariki Tanzania
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!
Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi
Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama MASURIA, huku kwenye wizara mbalimbali za SERIKALI si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara! Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda.... Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA! Tusitende kwa makengeza
BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani)
Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo! Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.... Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda
Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?
Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98View attachment 594527lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia... Lakini haukuwa huru wala wa haki
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!
Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Weka picha yw hao Bahima tuwaone kabisa ili tuwajue ili wakikatisha tu tunao!
Wakikaa nchale, wakichuchumaa nchale, wakikimbia nchale wskisimama nchale hadi mauti iwafike.
Kwa tarifa tu no kwamba m7 na jpm wana asili ya bahima
Taja wazazi au ndugu ama jamaa wa Nyerere walio hai au walio huko Rwanda la sivyo huu ni uchochezi dhidi ya wachochewa wa mchochezi.
Yupi uyoBungeni wapo kabisa. Na yupo mmoja kwa tiketi ya chama chetu ccm jimbo moja umasaini. Fikiria mnyarwanda umasaini hadi akapata ubunge. Ni kwasababu ni wa chama chetu tu basi......
Hapana Mchonga hakutaka kabisa hii himaya ya wa HIMA (BAHIMA) Istawi... Angalia michezo ya kikanda aliyoicheza pale Burundi na Uganda.... Nyerere ndio alikuwa mastermind wa kuhakikisha anaijenga Tanganyika yenye nguvu dhidi ya wa Hima/BAHIMA.... Hata kama anatuhumiwa kwa vifo vya watu fulani ilikuwa ni kwa maslahi mapana dhidi ya himaya yenye malengo ya siriKama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!
Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Hapana Mchonga hakutaka kabisa hii himaya ya wa HIMA (BAHIMA) Istawi... Angalia michezo ya kikanda aliyoicheza pale Burundi na Uganda.... Nyerere ndio alikuwa mastermind wa kuhakikisha anaijenga Tanganyika yenye nguvu dhidi ya wa Hima/BAHIMA.... Hata kama anatuhumiwa kwa vifo vya watu fulani ilikuwa ni kwa maslahi mapana dhidi ya himaya yenye malengo ya siri
Kifo chake kilikuwa nafuu kubwa kwa akina M7 na KGM
rubbish, we all are products of centuries migrationsKama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!
Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!