Bahima empire almost there...!!!

Lazima itakuwa ni Danganyika maana wameshaanza na miaka 7 walipoona imekataliwa huku wakaipeleka visiwani. Si muda mrefu utasikia maana wameaanza kuwapunguza watakaopinga kutoka mjengo kwa njia ya kuhama na lopango
 
It is coming
 
Sijui anataka nini mara anasema yeye ni dereva na tuko kwenye "lite" traki, mara yeye ni jiwe kweli kweli sijui anamaanisha jiwe lile la mke wa lutu au nini.. Sasa hivi anataka kuwa kiongozi wa malaika.. Tusubiri tuone maana huko kwa wazaramo daslamu tayari wana mungu wao kutoka Ziwani
 
Umebugi mkuu. Ila kwani kuna tatizo gani kukaa kuangalia nchi za wenzako, haya sasa China nako ndo ishakuwa hivyo sijui huko nako ni wahima? Kila utawala na mifumo yake na kila nchi iko huru kuchukua mfumo wake
 
Sawa asante
 
Bahima empire ilikufa baada ya odinga kukosa urais!! Mpaka sasa Congo haijawai kutawaliwa na mkongo zaidi ya mapandikizi tu
 
Bahima empire ilikufa baada ya odinga kukosa urais!! Mpaka sasa Congo haijawai kutawaliwa na mkongo zaidi ya mapandikizi tu
Na hawezi pata urais atabaki na uanaharakati tu.
 
Mamaye ni Mhima (Mtutsi).
Nkurunziza mama anaweza akawa mhima lakini anawachukia watutsi kuliko wahutu pure .Anatafuta legitimacy ya kisiasa kwa njia ya ukabila . Nina wasiwasi nchi za afrka zote zote zitakapokuwa failed states hapo utakuja ukoloni tena kwa kisingizio cha humanitarian reasons wakati lengo itakuwa kupora maliasili. I am afrad that is where we we are heading . God fobid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni conspiracy theory ambazo hazina ukweli wowote,wala haziwezi kuthibitishwa kisayansi,ni porojo tu za mtaani,kama ilivyokuwa kwamba,kuna watu wanaamini yale majengo pacha ya WTO kule USA,yalishambuliwa na Jews.Nyingine eti Ukimwi ulitengenezwa kuwaangamiza wa Africa,ni porojo tu,zimesemwa saaaana,mpaka sasa kuna vilaza wanaamini ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok basi hata hii reply yako ni mojawapo ya porojo zile zile

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…