Bahima empire almost there...!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,435
Reaction score
829,790
Habari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala

Sitaki kuijadili Burundi kama taifa huru bali Burundi kama sehemu na mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki...

Hii ni nchi mwanachama wa tatu katika nchi 6 zinazounda umoja huu (sijataja Sudan bado impact yake ni ndogo) Tayari Uganda chini ya Kaguta na Rwanda chini ya Kagame marais wake wamejirasmisha utawala wao kupitia chaguzi bandia..

Nani anafuatia!? Kenya? Kongo? Tanzania? Yeyote atakayefuatia kujiunga na huu udhalimu ile BAHIMA EMPIRE itakuwa imezaliwa rasmi....
 
Demiss
 

mshana jr umechemka unaposema hima unakua unasema tutsi , so Pierre ni Muhutu kutoka chama cha CNDD-FDD .. by the way asante kwa kuanzisha mjadala wajuvi ya mambo ya ukabila watatiririka sisi wengine ni wa ku google tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…