bahati yangu ya alfajiri ya leo.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
wadau leo alfajiri nikiwa najipitia barabara ya arusha babati nimekuatana na kundi kubwa la pundamilia na mbele kidogo la nyumbu idd yangu imekuwa ya furaha sana.
 
Mate yananidondoka, swala hukuwaona? Hao tutawala sana hawana hadhi ya ndege.
 
samahani wadau nimerusha picha sasa siioni sijui nimechemka?
Mim bora nikusaidie kuweka hiyo picha uliowakuta hao Pundamilia Ringo Edmund

633px-Zebra_Botswana_edit02.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom