Juu juu juu zaidiiiiiiiiiiiii
Endelea kujaribu hivyo hivyo ipo siku utabahatika...
Mmmmhhhh.... kwa hiyo unasaidiwa kuleaaa???? Au ndio mume mwenza????
Umeibuka eehh! Kitambo sijakutia machoni !
Ilibakia kiduchu nikutafute kwa Sredi !
Yakikukuta unaogopa nini?? yamekukuta mangapi bhana hadi ujifanye muoga leo?? Afu nimeku DIPU hujanipigia...
Nawe kila siku unatupa mgongo,ebu geuka tuykuone!!Yaani unaendelea kumpa moyo tu! Wkt keshadiklea amechemsha?
Ilipofika ni kumpa m'badala!
Mf. Waweza muadvaisi apumzike na kamari!
Probably kama alikwisha bahatika kubarikiwa kanyama kasteki kasikokua na mfupa! Basi kamtoshe hako!
Nawe kila siku unatupa mgongo,ebu geuka tuykuone!!
Hiyo juuuuu sasa ndo inanipa tabu
kwa kuwa sijajua ni juuuu kabisa ya nini
Kwani una maana juu ya nini kwani.
Mie nataka ugeuke nione watu watakavyotoka nduki humuOmbea niendelee kuelekea hukohuko!
Mistake ya nikigeuka wote mtakimbia!
Au screen zenu zitavunjika!
Shauri yako,utanyanyuliwa juu zaidJuu juu.....juu zaidi......hivi mada inahusu nini vile.
Mie nataka ugeuke nione watu watakavyotoka nduki humu
Hahahahaha,aya mwayaKumaliza hua anamalizaga sana mbona!
Semea tu hua hamalizagi kwa makelele! Anamalizaga kimyakimya.