CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,998
juu !!! juu! zadi ya juuuuuuuuuuuuuuuuuu!! mpaka juuuuuuu yake na juuu,maana tunatoka chini kwenda juu kabisa.
afu Baba V sijafurahi hata kidogo, yale madudu gani umenilisha jana ?kwa kuyatazama yanafanana sana na vitoweo vya akina Bishanga (senene) yale yanayo uziwa pembezoni mwa vituo vya mabasi nimeuliza wenyeji wakaniambia eti ni dagaa kamba.. na ile supu yake yaani ppptuuu!!

Bee wifi yangu kipenzi, nimeambiwa unaniita..
Juu juu juu zaidiiiiiiiiiiiii
Endelea kujaribu hivyo hivyo ipo siku utabahatika...
mmmmmh@mamndenyi hili nalo nenoWifi yake Chocs ungefafanua kwanza hiyo ya juuuuu na juuuu zaidi
ni juuuu ya nini,
Yasijetukuta wengine