WanaJF,
Salaam,
Kuna rafiki yangu kanipigia simu kuwa amepigiwa simu leo mchana kuwa amealikwa kwenda Attlantis Hotel (Dar es Salaam) Kesho jioni yeye na mmewe. Kwamba wameshinda baada ya kujaza form mwezi mmoja uliopita.
Form hiyo ilihitaji taarifa zake na familia yake kuwa anaweza kushinda tiketi ya kwenda nchi yoyote yeye na mmewe.
Kampuni inaitwa Signature Holidays Ltd.
Swali langu kwenu wandugu ni kufahamu kama hiki kitu ni genuine kwa yeyote anayefahamu hii kampuni.
Nime-google naona website yao kuwa wanahusika na utalii/safari, picha kibao ila sijapata details zaidi.
Msaada Pleaseeeeeeee.
Asante