This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,909
- 4,990
Bahasha zao ziko Mara tatu :
1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk
2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha Motisha kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa timu pinzani. Hivi Sasa hivi TZ Prisons wamewekewa Tzs milioni 25 waikamie Simba.
Bahasha hizi hutotolewa kwa mechi za Simba za nje ya DSM kwenye viwanja cya mikoani.
3.Bahasha kwa Waamuzi/Marefa kuhakikisha wanakuwa upande wao. Ukisikia kelele za lawama kwa refa jua refa hakuwa upande wao.
Fuatilia msimu juu wote ikiwa km utasikia Kuna mechi ya Yanga Kuna kikundi, wapenzi au mashabiki wameweka HELA ili Yanga ifungwe.
Motisha iliyopo ktk ligi yetu Ni kuhakikisha wapinzani wanapewa ahadi ili Simba kufungwa. Hii ndiyo motisha ambayo TFF na Bodi yake ya Ligi wamebariki.
Hata km Yanga ingekuwa na ubora wa viwango vya Manchester City ili uweze kutwaa ubingwa wa ligi lazima kuhakikisha Simba inapoteza. Kwa sababu Hata km Simba au Yanga Ni mbovu kiasi gani Hawa ndiyo washindani halisi ktk mbio za ubingwa.
MBINU NYINGINE ZA GSM, HERSI NA YANGA YAO.
Kutengeneza gap/mwachano wa point na Simba kwa gharama yoyote. Ndiyo maana bahasha zinatumika kwa mechi za Simba mikoani.
Kuna Kamati za ufundi za akina Antony mbunge wa Dodoma Kutoa bahasha kwa mabenchi ya ufundi au makipa au mabeki kucheza chini ya kiwango.
Nb: Hakuna ubishi kwamba Yanga Ni bora kiasi fulani wameimarika lkn hawana ubingwa wa ligi bila kuhakikisha Simba inapoteza.
Matokeo yao yanachagizwa na Simba kupoteza au kudroo. Huu ndiyo motisha kwao.
Mtu mjinga anaweza kuhoji na Kimataifa he huko nako bahasha? Hapa nazungumzia njia yao yakuoata ubingwa wa ligi.
Lkn pia huko kimataifa tuliona akicheza nusu fainali na timu marehemu zinazoshuka daraja.
Tumeona juzi alicheza na timu ambazo zinacheza mechi zote DSM. Tuliiona El Mereikh isiyo na makao iliyo ukimbizini na ambayo key players walishaondoka. Mereikh iliyochoka.
Safarini kutoka Ubaruku kule Mbarali.