""bahanuzi"" wangu

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Mdogo wangu mmoja anaeitwa bahanuzi na ni mpenzi wa simba alianza kutuchekesha jana pale aliposema mnamkaanga bahanuzi bure tu ningekuwa mimi ningewajibu

yaani kwenye ligi awanichezeshi alafu wanataka niwavushe
kwenda wapi??

Mi nimekuwa daraja??

Kwani mi nimesajiliwa kwa ajili ya penalt tuu loh

h
 
Imekaa vizuri sana ila akijaribu kusema tu hivyo ajue ndo safari ya kurudi Mtibwa itakuwa imefika.
 
Imekaa vizuri sana ila akijaribu kusema tu hivyo ajue ndo safari ya kurudi Mtibwa itakuwa imefika.

Sio MTIBWA tu kama haijui Yanga aseme hivyo msimu ujao ataenda KEMONDO FC ya MBOZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…