Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Mar 14, 2012 #1 Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Mar 14, 2012 #2 Me napenda tena zenye pilipili halafu unashushia na pepsi
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Mar 15, 2012 #3 Lizzy said: Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana. Click to expand... Lizzy mambo ? Na wewe kwa kupotea jamvini siku hizi ! Umekua nadra sana , mie nilikua nataka kujua hii bite hua inanichanganya hua ni Bagia au Bajia ?
Lizzy said: Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana. Click to expand... Lizzy mambo ? Na wewe kwa kupotea jamvini siku hizi ! Umekua nadra sana , mie nilikua nataka kujua hii bite hua inanichanganya hua ni Bagia au Bajia ?
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Mar 15, 2012 #4 Duuh mchicha tena? Ndo naskia kwako lizzy
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Mar 15, 2012 #5 zenye mchicha? Hizi ndo nazisikia kwako.... Kweli kuna mapishi mengi sana duniani........
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 Mar 15, 2012 #6 Kabakabana said: Me napenda tena zenye pilipili halafu unashushia na pepsi Click to expand... kaby umentamanisha BAGIA za pilipili..
Kabakabana said: Me napenda tena zenye pilipili halafu unashushia na pepsi Click to expand... kaby umentamanisha BAGIA za pilipili..
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,238 Reaction score 90,417 Mar 15, 2012 #7 mie napenda Kabab..
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,512 Mar 15, 2012 #8 Sizipendi na nikila hadi kichefuchefu...
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Mar 15, 2012 #9 Lizy unazungumzia bagia zipi? Za Dengu? Au za Kunde?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Mar 15, 2012 #10 Ni badia, ila wengine wanaita bagia au bajia. Izo huku kwetu ndo zinakorombezwa usipime, kuna zinotiwa mchicha, kotmiri, nanaa. Kuna na zile za dangu zinatiwa mpk kuku na bilingani, mh! Utamu wake utajiramba
Ni badia, ila wengine wanaita bagia au bajia. Izo huku kwetu ndo zinakorombezwa usipime, kuna zinotiwa mchicha, kotmiri, nanaa. Kuna na zile za dangu zinatiwa mpk kuku na bilingani, mh! Utamu wake utajiramba
V Vasco Dagama Member Joined Jan 18, 2012 Posts 52 Reaction score 10 Mar 15, 2012 #11 Bagia za mchicha?? Ndo nasikia leo. Kweli wanawake mnajua kupika
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 327 Mar 15, 2012 #12 Lizzy said: Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana. Click to expand... Nilikuwa Dar siku moja nikaagiza chips, na zenyewe zilikuja zikiambatana na mchicha!!!
Lizzy said: Nani anapenda. . .nani hapendi? Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana. Click to expand... Nilikuwa Dar siku moja nikaagiza chips, na zenyewe zilikuja zikiambatana na mchicha!!!
jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Mar 15, 2012 #13 Amyner said: kaby umentamanisha BAGIA za pilipili.. Click to expand... umeniwahi kucoment kwani hata mimi pia napenda Kababu.
Amyner said: kaby umentamanisha BAGIA za pilipili.. Click to expand... umeniwahi kucoment kwani hata mimi pia napenda Kababu.