Hicho ndio chenyewe, unakula mpaka mfupaHahahahhaha hicho ki dog mbona kiduchu icho me nlifkir panya lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mhh tamuu ukishushia na sprite mhhhh acha tuuu
jamani kimbwa wamekitesa loh
Ukipewa utakula?
Tena natafunia na pilipili mbuzi
Kwani kuku akipikwa anateswa