BAE SYSTEM wakubali kurudisha "vijsent" vyetu

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,738
0
Hatimae kampuni ya BAE SYSTEM ambayo iliiuzia tanzania rada imekubali kuilipa tanzania chenji moja kwa moja bila masharti,,,,,,,,,
 

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,361
2,000
Kampuni ya vifaa vya ulinzi ya BAE ya uingereza imekubali kulipa serikali ya Tanzania moja kwa moja kiasi cha 47 USD million kufidia malipo ya ziada ya ununuzi tata wa rada.SWALI..je zitarudi katika akaunti gani?isije ikawa kama EPA,bora wawalipe wastaafu wa EAC wanaodai toka 1977
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,331
2,000
Na huyu aliefanya monkey bussines nae akubali ajivue gamba!afa akanyee debe kama kaka lyumba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom