Bae nipe mimba☺

natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Inawezekana yupo, ila na yeye akiamua kutafuta mwanamke wa ndoto yake duniani unafikiri atakuchagua?
 
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Mimi najiyokeza umeniona
?. Matunzo tunapiga 50/50 au unasemaje? Fanya maamuzi faster tuokoe muda.
 
Ebu njoo znz haraka hata sasa nitume nauli navyotamani kutia mimba ni hatari
 
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Jaribu wanaume wa kuzimu

Jokin..
 
natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
Huyo mwanaume asiyekuwepo humu duniani ana fananaje?
 
scorpio me wewe unataka mtoto huku kazi huna sijui utamlisha nini naona unaiga maisha ya sinema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…