Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,952
Eti eeehBidii yako tuu...
SanteHongera kwa kuitamani
Daaaah nani kama mama eti?
Mimi niko tayari kukupa mimba,ila usinidai matunzo.natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo
jipe mwenyewe ujitunze mwenyeweMimi niko tayari kukupa mimba,ila usinidai matunzo.
Tatizo lako ndio hilo,ukali.jipe mwenyewe ujitunze mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niko tayari kukupa mimba,ila usinidai matunzo.
Kama unayoandika humu kila siku yanashabihiana na maisha yako, then you've gotta to evaluate yourself dada yangu. Ni kama vile hujui unachotaka...usinipige mawe tu!!!natafuta mwanamme wa kunipa mimba sana tu sema nipo very complicated sijui itakuwaje ! yaani mwanaume ninaemtaka humu duniani sijui kama yupo