Bae niongezee hela ninunue S9+

Ni ngumu kupata iliyokamilika...kila mtu anamapungufu yake.
 
Hao viumbe akili zao sometimes wanazijua wenyewe
Kabisa mkuu lakini baadae huja kujutia. Huwa wanapewa kiburi na idadi ya wanaume wanaowatongoza wasijue kuwa it is temporal. Baada ya muda sisi wanaume huamia kwa kifaa kipya tukishapata tulichokitaka. Nimeshashuhudia wadada wazuri na wenye ekspozha zao nzuri tu wanaharibu maisha yao kwa tamaa za kipuuzi. Anakuwa na kaka mstaarabu tu mwenye kipato cha kawaida ila anamuona zuzu, anataka badboys ambao hawanaga future. Zuzu akichoka anamwaga anaoa mwingine, dada anabaki analia. Wanaume waoaji na wenye future ndio hao hao mnaowaona washamba. Playboys huwa hawaoi kirahisi. Trust me.
 
Madem hao bado unao? Atakuwa kakuona zwazwa sana. Hamna madem wenye tabia hizo sikuhizi
 
Kabisa mkuu, hao wakiwaambia nataka gari wanapewa, nataka iPhone wanapewa huku kapanga nyumba ya laki tano kwa mwezi.

Wakistuka wameshavuliwa sana sketi hana hata kiwanja wala maendeleo yeyote Yale zaidi ya kuifoji k yake na mwili wake.
 
Wanawake wa aina hiyo wapo mm nilishaishi na mmoja kwa tamaa zake akacheat nikamuacha ssa hiv yupo yupo tu hana analiwa ovyo ovyo mwanamke asipokuwa na akili nywele za kichogoni zitaisha kwa kulalwa ovyo!
 
Wanawake wa aina hiyo wapo mm nilishaishi na mmoja kwa tamaa zake akacheat nikamuacha ssa hiv yupo yupo tu hana analiwa ovyo ovyo mwanamke asipokuwa na akili nywele za kichogoni zitaisha kwa kulalwa ovyo!
Ndugu yangu wanaume wengi tumeshakutana na sampuli hii. Huwa inawadhuru sana wakigutuka inakuwa ntolee. Yaani yule mtoto alikuwa kama kichaa wa materialism. Anakwambia "nataka nihamie kwako na kibegi changu tu". Kaolewa na jamaa mario wanaishi kwenye nyumba ya urithi ya baba mkwe (baba wa mke). Na bado demu analiwa nje kila kona. Anatia huruma.
 
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
Dah... Chief...mara nyingi mtu hupambana kutafuta vile vitu ambavyo hanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Marhaba mtoto mzuri.
Ukiitwa kwenye hili zoezi pale junction ya Karume
Tafadhali utii wito, Jina lako liko kwa Mh. ''Manene''

Wee mtu upoo!!???

Shkamooo kama ikiwa umenisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…