Bae niongezee hela ninunue S9+

Na huyu "bae" ni mke au mama mzazi?

Maana dah...
 
Ungemuuliza yeye ana ngapi huenda alikua na 2.2 akahitaji aongezewe laki1
 
HAHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHA!
usinikumbushe ambavyo nilikuwa nakuwa busy kuandaa mpambano!
like seriously siku hizi nikifunikwa tu blanketi na chai ya tangawizi na movie nimekunja tumiguuu!naona DUNIA HII HAPA!
ahahahahahahaa!
hakyanani!
 
Hahaha, hapo kwenye mvi hapo. Ukiona moja tu unaanza "ewaaa, uzee unaingia tartiiibu". Binafsi sizihesabu tena, nahisi i'm Lowasa in the making.
ahahahahhahaa nakwambia wacha kabisa!
sa hiz najua zishafika kumi!
maana nywele walinisusiaga kwenye ukoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…