Bae niongezee hela ninunue S9+


haahhhahhah mkuu umenifanya nimkumbuke ex wangu aseh duniani kuna mizigo ili huyu mwanamke hapana tangu nianze date nae hakuna siku amewahi nishauri nifanye jambo la msingi na akitaka kitu utasikia Bae naomba kitu flani yan amenifanya hata msichana mwingine akinita Bae sasa hivi nikumbuke machungu yake

huyu mwanamke hana story zaidi ya kutaka simu,kupelekwa out, photo shooting(hii ndo ilikuwa kali zaidi siku ya graduation yake) dah wanaume tumeumbwa mateso jamani
 
we acha tu!
its good kukua though!
the other day nimeona mvi moja kichwani!
nikasema ewaaaah ,taraaaaah!

Yaani maisha ya ujana yana pirika za ajabu...

Make kipindi kile nikiweka nadhiri ya kazi naishona hasa, naweka resources kabisa kwa ajili yake.

Siku hizi nafanya kama kujaribisha tu zinatick halafu nakataa mwenyewe, sema budget nazo zimebana kweli.

Maana ada za watoto ni shida... Na Makonda kakomaa hasa.
 
we acha tu!
its good kukua though!
the other day nimeona mvi moja kichwani!
nikasema ewaaaah ,taraaaaah!
Hahaha, hapo kwenye mvi hapo. Ukiona moja tu unaanza "ewaaa, uzee unaingia tartiiibu". Binafsi sizihesabu tena, nahisi i'm Lowasa in the making.
 
Hahaha, hapo kwenye mvi hapo. Ukiona moja tu unaanza "ewaaa, uzee unaingia tartiiibu". Binafsi sizihesabu tena, nahisi i'm Lowasa in the making.
Kama mpaka umri huo hazijajaa kichwa kizima basi wewe sio mamvi
 
Kawaida watu ambao hawajui kutafuta pesa, hawaoni huruma.

BTW Fanya kunikopesha hiyo nitakurudishia 3.
Huo mkopo ni 25% interest si ungeenda benki utapata kwa 22% or less
 
Mwanaume kaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…