nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 741
- 769
Upumbqvu na ulimbukeni tu.I hate to generalize and/ or stereotype...but damn!
Mademu wa kibongo na simu!!
What’s up with that?
Hahah!! Hapo ni umelipiwa kodi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaongezewa kodi ya nyumba 3M wewe una laki 5
Putin njoo usome hapaUpumbqvu na ulimbukeni tu.
Unajua hapa bongo ukiwa na simu nzuri tu unaweza ukang'oa demu bila gharama yoyote.
Nakumbuka niliwahi kuwa na iPhone 4 miaka kama mitatu iliyopta basi jamaa yangu mmoja hivi namuitaga torres akawa anakuja kuniazima hili akuchukulie namba za mademu.. Na kweli alikuwaga anyimwi kabisa na wengi tu aliwala.
Wanawake wengi washamba sana hapa bongo wanaamini sana kwenye ufahari kuliko kuwa genuine
Huu ndio ukweli wenyewe kujiona matawi hakuna kingine.Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi [emoji23][emoji23]
Sasa unataka atumie wapi zaidi ya insta na Snapchat? Picha nzuri ndo CV hivyoo [emoji23][emoji23][emoji23]Huu ndio ukweli wenyewe kujiona matawi hakuna kingine.
Halafu unakuta simu yenyewe matumizi makubwa sana ni kuingia Instagram tu kuangalia akina mabeto na jaclin wolper. Shwenziii sana.
Wengine hututaki. Sawa tuuWewe utakuwa wa kuteuliwa, huna haja ya kugombea.
Aisee...!Upumbqvu na ulimbukeni tu.
Unajua hapa bongo ukiwa na simu nzuri tu unaweza ukang'oa demu bila gharama yoyote.
Nakumbuka niliwahi kuwa na iPhone 4 miaka kama mitatu iliyopta basi jamaa yangu mmoja hivi namuitaga torres akawa anakuja kuniazima hili akuchukulie namba za mademu.. Na kweli alikuwaga anyimwi kabisa na wengi tu aliwala.
Wanawake wengi washamba sana hapa bongo wanaamini sana kwenye ufahari kuliko kuwa genuine
Ha ha haWewe utakuwa wa kuteuliwa, huna haja ya kugombea.
Tatizo nyota dear...jaribu kubonyeza reli[emoji3] [emoji3]Wengine hututaki. Sawa tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee!! Naona unataka kutengeneza mp3 sasaWengine hututaki. Sawa tuu
Bora umeshtukaKausha..
Instagram sijui sapcht unaweza ukatumia hata kwa simu isiyo kuwa na gharama kubwa iliyojuu ya uwezo wako, mbali na hivyo hizi iPhone x na simu zingine zenye kariba ya iPhone x zimetengenezwa kwa ajili ya kuendana na mazingira ya huko ilipotengenezewa yaani complexity yake aiendani na mazingira ya hapa bongo, iPhone x inaweza ikakuongoza wewe sehemu unayoenda ambayo huijui ila ukatumia GPRS ya eneo husika na pawepo na network connection kali sana isiyo na chenga chenga. Na pia vile vile unaweza ukaitumia kwenye security system ya nyumba yako lakini lazima pawepo na connection kati ya simu yako na vituo vya usalama.Sasa unataka atumie wapi zaidi ya insta na Snapchat? Picha nzuri ndo CV hivyoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana jitahidi uwafundishe na wanao wawe kama wewe hasa wa kikeMi nilipata akili kabla sijafikishaa 15yrs. Nina miaka zaidi ya 25 yes na naipenda hela kufa [emoji23]
Siwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kausha..
Ngoja nijaribu reliTatizo nyota dear...jaribu kubonyeza reli[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee!! Naona unataka kutengeneza mp3 sasa
Bora umeshtuka