Bae niongezee hela ninunue S9+

2.3M nikanunue simu? Labda kwa sababu sina ila sinunui ng'ooo hata nikipewa. Bora nikanunulie hisa kwenye vicoba najua mwisho wa mwaka sikosi faida ya 1M.
Bila shaka wewe itakuwa ni mwanamama mwenyewe miaka zaidi ya 25.

Tofauti na huyo mama Sabrina ambae yuko kwenye adolescence.
 
Tuliachana toka siku mimba imeingia. Anakujaga kumuangalia mwanae mara moja kwa miezi mitatu. Hayupo kwenye maisha yangu ya mahusiano kabisa
Kwahiyo ulimpenda sana ukabeba mimba yake tu mkaachana?

Nq uzuri wote huo unaosema unao hakukuona ww ni wife material?!
 
Bila shaka wewe itakuwa ni mwanamama mwenyewe miaka zaidi ya 25.

Tofauti na huyo mama Sabrina ambae yuko kwenye adolescence.
Mi nilipata akili kabla sijafikishaa 15yrs. Nina miaka zaidi ya 25 yes na naipenda hela kufa [emoji23]
 
Kwahiyo ulimpenda sana ukabeba mimba yake tu mkaachana?

Nq uzuri wote huo unaosema unao hakukuona ww ni wife material?!
Ni story ndefu na nahisi nilishaandika humu. Na uzuri uko kwa mtu sina uzuri huo wa kila mtu kusema mi mzuri. Mi na beb daddy ni habari nyingine kabisa
 
Daaah nikisikia hvyo mindo nafuta na namba yake kabisa
 
Kwahiyo jimbo lipo wazi mkuu nianze kupiga jalamba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…