Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,308
- 54,815
Una akili we mwanamke. Ndivyo inatakiwa iwe2.3M nikanunue simu? Labda kwa sababu sina ila sinunui ng'ooo hata nikipewa. Bora nikanunulie hisa kwenye vicoba najua mwisho wa mwaka sikosi faida ya 1M.
Hii biashara inalisha familia bila ya wasiwasi.... Zinauzwa bei gani zile Fekon nafikiri?Yupo mmoja hapa mimi peke yangu nampa trip za kusambaza vitu at least 10,000 per day sijui wengine.
Vipi usha deliver zile iPhone Z sijui X?
Hata mimi wanasema ni mbahili ila mimi najiona sensible,sipendi matumizi yasiyo ya msingi au yasiyonihusu.Hahahaaaaa thubutu!
Akili kubwa hii. Hata zawadi za peremende huwa sigawi!
Ila Mzigua90 atapata saa yake nyekundu. She’s been really good to me. Lookin’ out for me and everything. So I appreciate that very much. Therefore she deserves it.
Lakini hawa wengine hawa.....hahahahaaaa. Nope!
Miss Natafuta huwa anasema mimi ni mbahili. Yawezekana kweli ni mbahili lakini ubahili ndo akili.
wacha nizihangaike kidog kidogoSijui models ila 2m unapata.
Thubutuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaniambia labda aniletee mimi [emoji23][emoji23]Oooops...! Umejuaje?!
Kwi kwi kwi inawezekanaBila shaka ni miongoni mwa wale walioenda kwa makonda.
Nani kakudanganya?Sema huyu mjanja hadi kapitiliza.
Hata mimi wanasema ni mbahili ila mimi najiona sensible,sipendi matumizi yasiyo ya msingi au yasiyonihusu.
Tunaojihudumia tunakuaga na akili. Unadhani ningekua napewa tu ningepata hiyo akili? Mi mtu akinipa ananiongezea ila changu nakitafuta kwa nguvu jamani sasa ndo nichezee hela hivyo weeUna akili we mwanamke. Ndivyo inatakiwa iwe
Kwa mke na watoto hamna mjadala, tupo kwa ajili yao. Wao ndio sababu tunahangaika.Hela niliyoitolea jasho siwezi kuifuja kwa mwanamke aisee.
Heri niitumie kwa mwanangu ambaye najua she is loyal to me till the end.
Au labda nikija kuoa. Hapo sitakuwa na tatizo ingawa napo itabidi nitumie akili kubwa maana wake za watu nao ndo walewale tu.
Lakini kwa Kisura I go all out man. Her happiness is mine as well.