Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Dah mmh badoo, unatumia badoo basi faham unapoteza muda sana, achana na hiyo kitu kabisa itavuruga akili yako, Muda unaotumia kwenye badoo bora ungetumia hata kusoma magazeti ya udaku, 98% ya watumiaji wa badoo ni wazinzi au malaya tu,
Duh bora kusoma udaku ...!! Badi hatari...
35 awe na saa sita, ni ndoto aise.
Mbona mimi Nina 45 lkn chuchu SAA mbili ASB?? Inawezekana banaaaa
Mbona mimi Nina 45 lkn chuchu SAA mbili ASB?? Inawezekana banaaaa
Dah mmh badoo, unatumia badoo basi faham unapoteza muda sana, achana na hiyo kitu kabisa itavuruga akili yako, Muda unaotumia kwenye badoo bora ungetumia hata kusoma magazeti ya udaku, 98% ya watumiaji wa badoo ni wazinzi au malaya tu,
duh baada ya kujificha kwa muda mrefu umerudi tena na maneno yako ya kukatisha tamaa wenzio?Pole endelea endelea tu na "harakati za pimbi" utafanikiwa
Kwa wengine maisha ni rahisi sana, kushinda kuwapanga mabinti...