Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,150
Reaction score
137,127
Hawa CHADEMA ndo basi tena.

Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.

Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.

Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.

Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.

Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.

Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?

Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.

Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.

Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?

Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.

Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.

Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
 
Huyu amenunuliwa tayari kama Profesa lipumba, jiandae kukatwa mkia
 
Leo umeongea ukweli kama non partisan
 
Eti Ready to rumble...

No one rumbled. Y'all folded like cheap suits.

Tatizo kubwa la CDM ni kwamba ukiwaambia walifanya makosa kumsimamisha Lowasa Kama mgombea Wao wanakuita CCM, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa like lilikuwa ni kosa kubwa, migogoro iliyopo CUF, NCCR na CDM yenyewe chanzo chake kikuu ni Hilo kosa.
 
Nyerere angeogopa na kukaa kimya baada ya kuwekwa mahabusu sijui kama leo ungekuwa unaanzisha thread namna hii katika nchi inayoitwa Tanzania.
Mabavu Mbele ya Polisi Yangeleta Maafa Pande Zote!Hivi Watu Wakifa Faida ya Nani?
Kama Magufuli Atapita na Tingatinga Lake Kwa Ulaisi Baada ya UKUTA Kuhairishwa,Mbona Alipaniki Kuhusu UKUTA Hata Baada ya Bavicha Kushindwa Kwenda Dodoma?
Wengi Wanao Mdhihaki Mbowe Lengo Lilikuwa ni Kutaka Waone Watu Wakipigwa na Damu Kumwagika!
 
Rais Mstaafu Benjamini W. Mkapa aliwahi kusema (siyo nukuu rasmi) kuwa ukikosa uaminifu mara moja hilo doa ukuandama! (alikuwa anazungumzia uaminifu kwa watanzania wanaofanya kazi na wawekezaji).
Chadema wajitafakari! Kama wanataka kuendelea na siasa za kuongeza wanachama wafuate ushauri wangu! Wautafute niliuandika humu.
 
Back
Top Bottom