Hanywi matapu tapu kama wasichana wa Tanzania... wanakula kama nguruwe kila kitu chao... mara chips na kuku yatima, chips na mayai sio na baba...
Juice za ajabu ajabu
Mazoezi zerooo..
Kujipaka kemikali kila siku...
Kuongeza maziwa ukubwa
Mashavu
Matako...
Kila kitu feki
Jlo hazeeki kabisa life style balanced diet na mazoezi vina saidia kumuweka aonekane mbichi mbichi.
Unainyaka hii ngoma?