Bado Upo Upo Huu

Nakumbuka wakati nipo primary school ilikuwa ni lazma kutoa mchango wa mafuta ya mwenge.
Sijui mpaka siku hizi bado ipo hiyo!
 
Nakumbuka wakati nipo primary school ilikuwa ni lazma kutoa mchango wa mafuta ya mwenge.
Sijui mpaka siku hizi bado ipo hiyo!

siku hizi ukizubaa unakatwa kiaina
 

hawa wameuzunguka mithili ya Daudi Mwangosi
 

ni kushona mijisare kutengeneza mazingira ya ulaji
 

unamkumbuka waliyemzunguka hivi? full ulinzi kwa mwenge hapa
 

Chiza lazima uyumike mkuu wangu, cheo si mchezo
 

mijisare lila uchao, mtanzania anakufa hospitalini kwa kukosa tiba
 
Siku hizi ni chanzo cha ngono zembe na kueneza ukimwi, period, hakuna la ziada.

Tiba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…