The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo?
Mimi nipo kazini
Mimi nipo kazini
😅😅Mimi ndo nimetoka disko toto sahivi nimecheza mapiano mpk macho yanauma!
Huna hela wewe!Kusema ukweli Sikukuu za waislamu hazina amsha amsha kama za wakristo
asante kwa kunidhalilishaHuna hela wewe!