Bado tunawatukuza wauaji?

Bado tunawatukuza wauaji?

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,496
Reaction score
26,122
Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!

Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?

Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?

Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni kujiweka moja kwa moja upande wa waovu.

Tanzania itakombolewa tu; hamna namna nyingine tena.
 
Mkuu Kalamu . Hii sentensi nimecopy kutoka BBC website kuhusu chanzo cha kuhukumiwa kifo ''Sheikh Hasina was found guilty of allowing lethal force to be used against protesters, 1,400 of whom died during the unrest last year.'' Huyu wa kwetu ameua wengi zaidi. Nitashangaa mno kama atamaliza mwaka akiwa rais.
 
Nawashangaa sana hawa wanaoendelea na furaha za teuzi kana kwamba waTanzania waliouliwa walikuwa ni mende tu!

Samia kisha jimaliza mwenyewe, ni swala la muda tu lililobaki.

Huwezi kuua watu namna hii halafu unajifanya kana kwamba kila kitu kipo sawa tu!
 
Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!

Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?

Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?

Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni kujiweka moja kwa moja upande wa waovu.

Tanzania itakombolewa tu; hamna namna nyingine tena.
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.
 
Kuwaelewa wabongo ni ngumu sana wako kama sigara kali hujui inawashiwa wapi
Wataeleweka tu.
Jikumbushe kuwa haijawahi kuwepo na hali ya namna hii tokea tuwe nchi huru.

Tulisifika kuwa wapole na wapenda amani; hazikuwa sifa za uongo.

Yote hayo kayavuruga Samia na Genge lake.

Hiyo "sigara ya kuwashia sehemu mbili" utaiona sasa kuwa haiwezi kuwashiwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.
Kwa hiyo, hata hiyo sigara inazo taratibu zake ambazo ni lazima zifuatwe.

Samia haponi safari hii.
 
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.
Hawa ndio wanaotaka kutupeleka tuwe kama Sudan au Somalia; na pengine hata Gaza!

Naamini Tanzania tutaepukana na ujinga huo.
 
Back
Top Bottom