Njanga Tz
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 843
- 654
We have no choice over use of polluted water, say Dar vegatable farmers.( The Guardian).
Hii habari ni muhimu sana kwa afya zetu. Najua kuna uzi ulishawahi pandishwa hapa kuhusu suala lakulishwa mboga mboga zinamwagiliwa na maji machafu na yenye sumu hapa Dar.
Mboga nyingi za majani hapa mjini zinatoka kwenye mito ya mabonde ambayo viwanda vinamwaga kemikali zake na sisi wananchi tumeunga vyoo vyetu na kugeuza dampo.
Madhara ya kula hzo mboga mboga ni makubwa mno; saratani , magonjwa ya figo,ini na mengineyo.
Tufikirie njia mbadala yakupata mboga za majani zilizokaguliwa na wataalamu na kuwekewa nembo maalumu ili tusiendelee kulishwa sumu.
Tujali Afya zetu hili ni Janga kubwa.