Tuwe na subira mkuu. Utasikia jinsi atavyopokea kukatwa kwa unyenyekevu mkubwa!
Tuwe na subira mkuu. Utasikia jinsi atavyopokea kukatwa kwa unyenyekevu mkubwa!
Chezeya Urais Mkuu, ni mtamu kupita kiasi si unamuona mamvi anavyohangaika na mabilioni yameshaungua.
Bado, unafikiri kukata mchezo! !?
Jembe lao katikati
Yaani pozi la wasira limenichekesha kweli ,
nan anayelia- ZZK au CDM? tuwe wakweli kabisa, kwanza siku hiz ukizungumzia CDM unaonekana mtu wa kaskazin au chiz-wanatembelea nyota ya UKAWA