Bado tu?

Haha! kweli picha inaongea zaidi ya maneno elfu moja!
 
Wangekuwa CHADEMA washakata
ZZK alikatwa alfajiri, saa mbili akina Mchange washaanza kulia
 
hahha!!! muhongo katupia pozi hatari..hana habari na mtu..mkao wa wasira sio wa kuingia ikulu..safari ya matumaini nayo sijui imefika omega,mana namuona raisi wa wachafu ameshika tama..pinda na magufuli naona kama wametege sikio kwa makini kusikiliza kinachoendelea...huyu mjumbe aliyelala ni nani?? naona kashajitoa kwenye ligi mapema
 
Wakati wa uchaguzi ni zaidi ya World Cup!Wagombea wana hali mbaya sana.
 
Du! kweli wagombea wamechoka. Kwa hali ilivyo akitokea Mangula akasema muingie kwa kutembea na magoti hakuna atakayepinga, chezea magogoni weye!
 
Wangekuwa CHADEMA washakata
ZZK alikatwa alfajiri, saa mbili akina Mchange washaanza kulia

nan anayelia- ZZK au CDM? tuwe wakweli kabisa, kwanza siku hiz ukizungumzia CDM unaonekana mtu wa kaskazin au chiz-wanatembelea nyota ya UKAWA
 
Du mapesa yote lazima atachanganyikiwa tu! Jamaa noma pesa wametafuna halafu wanamtosa huruma sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…