Bado siku tisa tu

Mbona mijanaume mingi hapa inaongelea ndoa kama kitu kibaya hv? Kama yako imekuwa jehanam usimtishe mwenzako bwana.! Hongera kwa kufikia hatua hyo. MUNGU AKUPE MAARIFA NA AKILI YA KUISHI NA MKEO!
 
[asante

QUOTE=Tized;6003587]Una uchaguzi wa kuifanya kuwa ndoa ya mfano mzuri au mbaya, Kwa vyovyote itakavyokuwa keep up the spirit na uelewe mkeo ni mtu na ana madhaifu mengi kama ya kwako maana naye ni binadamu, Jitahidi kujifunza kusamehe na kuvumiliana. Never regret this decision you are making.

Pili punguza kwaito kaka siku ya ndoa, Make sure kabla ya siku ya pili kuingia (Kabla ya saa sita usiku) uwe umetimiza ahadi(patano) yako ya ndoa ''NAKUOA LEO HII'' agreement hii hukamilika mnapokutana kimwili maana ndio muunganiko wa mtu na mtu kuwa mwili mmoja. and this has to happen the same day. (wengi wanaweza kupuuza hili lakini ni ndio NDOA yenyewe)

Tatu, Kama umewahi kuumiza watu wengine au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wengine, kumbuka ku-denounce uhusiano huo maana bado unakuwaga binding kiroho hata kama mmeachana lakini mmewahi kufanya ngono. Unaweza kuta mambo yako yanapinda pinda kumbe ni maroho au mabalaa ya mmoja wa ex wako maana ukilala na mtu kimwili mnakuwa mmoja according to holy scripture unachukua baraka na laana zake same na yeye anachukua zako (Mnaunganika katika spiritual realm)

Wenye ufahamu zaidi watanisaidia kufafanua zaidi.
Nakutakia kila la heri na Maisha mema ndugu.[/QUOTE]
 
aissss!kumbe ni kifungo!!!!vipi baada ya hizo siku kenda akichoose kuendelea na PART 1?!
 
bado siku tisa uwe member wa chama cha kulala uchi duniani(CHAKUDU);wazo tu mshirikishe mwenzio na kwenye madeni unayolopa swala la kukutana na finca wanachukua kochi bila taatifa n laanda mjuze ;wenzio
 
Bado siku 9 kina Mwanaisha hawatakugusagusa tena pale club. Kila la heri, umheshimu mwanandoa mwenzako.
 
Karibu sana ndoa ni kitu chema. Inategemea tu na wewe ulivyojipanga. Wewe mwenyewe unaweza kuifanya iwe chungu au nzuri. Ndoa sio ndoano naamini ulichagua kilicho chema na wewe ni mwema pia. Be blessed abundantly
 
bado siku tisa tu uanze kushinda bar mpaka saa saa saba za usiku kukwepa makelele ya nyumbani


bado siku tisa tu uone uchungu wa kumegewa maana ulikua unaona raha kuwamega wake za wenzako
 
Kuwa mwaminifu kwenye ndoa yako,wewe na mkeo muwe na katiba yenu ndugu na watu wa karibu wasiwaendeshe na kusiwe na siri kati ni hayo tu bro na maisha mema ya ndoa na yenye baraka
 

mpwa imebidi ni copy na ku'pest, hahahahahah, hii kali aloo.
 
Mosie Myumba haya nayo ni Ubatili na kujilisha Upepo, maana kila kitu chini ya Jua ni Ubatili mtupu........nampenda sana Mhubiri -Kwenye Bible ana busara ya ajabu kuliko busara yeynyewe
mpwa imebidi ni copy na ku'pest, hahahahahah, hii kali aloo.
 
kachukue cheti ,mitihani itakuja baadae
--says no married man/woman--
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…