W WJN Member Nov 6, 2010 54 0 Feb 9, 2011 #1 Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo.
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo.
P Pokola JF-Expert Member Jul 16, 2010 716 177 Feb 9, 2011 #2 WJN said: Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo. Click to expand... Hisia tuu. Lete facts & source.
WJN said: Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo. Click to expand... Hisia tuu. Lete facts & source.
W WJN Member Nov 6, 2010 54 0 Feb 9, 2011 Thread starter #3 Pokola said: Hisia tuu. Lete facts & source. Click to expand... source: tanzania daima la leo, imefail kuupload ka vp itafute
Pokola said: Hisia tuu. Lete facts & source. Click to expand... source: tanzania daima la leo, imefail kuupload ka vp itafute
M mzee wa inshu Member Jan 25, 2011 49 0 Feb 9, 2011 #4 Dowans kulipwa sio ishu kwani madudu mangapi yamefanyika wabongo tunapumbazwa na watu wanachekelea bada ya kupewa ahadi ya maisha bora? "Hata kama nchi ikiuzwa leo amani na utulivu vitaendelea kutawala" WENYE MOYO WANAJENGA, WENYE MENO WANAKULA!
Dowans kulipwa sio ishu kwani madudu mangapi yamefanyika wabongo tunapumbazwa na watu wanachekelea bada ya kupewa ahadi ya maisha bora? "Hata kama nchi ikiuzwa leo amani na utulivu vitaendelea kutawala" WENYE MOYO WANAJENGA, WENYE MENO WANAKULA!