Bado siku 7 dowans walipwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado siku 7 dowans walipwe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WJN, Feb 9, 2011.

 1. W

  WJN Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo.
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hisia tuu. Lete facts & source.
   
 3. W

  WJN Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source: tanzania daima la leo, imefail kuupload ka vp itafute
   
 4. m

  mzee wa inshu Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dowans kulipwa sio ishu kwani madudu mangapi yamefanyika wabongo tunapumbazwa na watu wanachekelea bada ya kupewa ahadi ya maisha bora?

  "Hata kama nchi ikiuzwa leo amani na utulivu vitaendelea kutawala"

  WENYE MOYO WANAJENGA, WENYE MENO WANAKULA!
   
Loading...