Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,723
Reaction score
11,934
Watu wanataka ZUNGU awe spika, ukiacha, Umasikini,Ujinga na Maradhi tatizo lingine moja wapo linalotukumba Watanzania kuwa sisi ni watu wasahaulifu SANA.

Ila hawa UVCCM wangekuwaga wako serious kuipinga serikali inayoongozwa na chama chao kwenye mambo mbalimbali

Mfano kupanda kwa gharama za umeme, tozo za miamala pamoja na mfumko wa bei za bidhaa mtaani kama wanavyotumia nguvu nyingi kwa Job nchi hii tungekuwa mbali sana.

In short CCM hawana mbinu tena.
 
Nchi ngumu hii.

CCM hawana akili toka mwanza wa Dunia.
Serikali yetu inapeleka pesa nyingi sana kwenye siasa, ikifanikiwa kupunguza huku nchi yetu itafika mbali sana.

Wote wamepoteza hela kuwafundisha ujinga viongozi wao.
 
Serikali yetu inapeleka pesa nyingi sana kwenye siasa, ikifanikiwa kupunguza huku nchi yetu itafika mbali sana.

Wote wamepoteza hela kuwafundisha ujinga viongozi wao.
[emoji3][emoji3]
 
Napendekeza huyu👇
IMG_20220107_125541.jpg
 
Wakimaliza kugawana vyeo, wananchi tunataka maendeleo na siyo siasa. Sisi hatuli siasa.
 
twende na shaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

speaker msafi na mtanashati kutoka visiwani.
 
Ipo siku tutaitafuta sana clip ya Ndugai "nchi itauzwa" japo safari hii haitauzwa kwa madeni bali kwa kujaza mamluki serikalini wenye kutaka manufaa zaidi kwa wale wasiolipa kodi yoyote kuijenga jamhuri yetu.
Suala la spika wa bunge ajaye pamoja na Baraza la mawaziri/ pm ndilo litakaloamua mstakabari wa wananchi hapa Dodoma
 
Back
Top Bottom