asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Wizara ya afya kitengo gani? Usikute nakulipa overtime na unacheza tu hapa jeiefu!
Tafuta a new hobby.........habari wana MMU....
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
Pole sana..unaweza tu ukaniPM nitakwambia cha kufanya
Tafuta a new hobby.........
Tafuta rafiki wa kiume wa kukupa kampani, mnatoka, mnapiga piga story mdogo mdogo utasahau...pole sana!!!
Nimemaanisha hobi.........kumpata new na kuanza lyf jipya daaah..
mungu anisaidie kwa hili..
habari wana MMU....
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
habari wana MMU....
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
Tafuta rafiki wa kiume wa kukupa kampani, mnatoka, mnapiga piga story mdogo mdogo utasahau...pole sana!!!
inawezekana kafa maana hajasema kaondokewa kivipi.?
marafiki wenyewe si ndo sisi