Bado siamini kama wote walikufa

Inaonekana umeunganisha PICHA NA STORY yako...kwnz hiyo gari na hiyo PIKIPIKI inaonekana sio hapa kwetu nyumbani
Mkuu, sioni ubaya kama nikiambatanisha nadharia kwenye tukio.... amah...[emoji53] [emoji53]
 
Ilitokea wapi na ulipoteza ndugu wangapi? Pole
Hii ajali ilitokea Nyerere road, mkabala na mtaa wa posta, karibu kabisa na jengo lenye ofisi za ilipokua SUKITA huko Mwanza.
Ingawa walio potea hawakua ndugu, lakini walikua watu wangu wa karibu sana mkuu.
 
Nionapo matukio km hayo hua akili Yangu inastack.coz mwenyewe ni bonge LA motorida,so!najua maumivu yake.bike ndio imegoga gari sio?pole mkuu na wote waliopo ktk ajari hiyo.
 
Nionapo matukio km hayo hua akili Yangu inastack.coz mwenyewe ni bonge LA motorida,so!najua maumivu yake.bike ndio imegoga gari sio?pole mkuu na wote waliopo ktk ajari hiyo.
Chukua tahadhari mkuu, hakikisha unatumia safety gears na usiendeshe kwa mwendo wa kasi kupita kiasi
 
Haikua familia mkuu, bali walikua watu wangu wa karibu.... na mbaya zaidi nilikua ndio nimechukua gari la mkopo na hata mwezi moja ilikua haijapita haki
Ndio matatizo us magari ya mkopo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…