Bado siamini kama wote walikufa

Mwendo mkali unaua.Pikipiki ilikuwa katika mwendo mkali na gari ilikuwa kwenye mwendo mkali pia.Ukaguzi wa eneo la tukio pamoja na vyombo husika itasaidia kupata ukweli mzima.
 
Mwendo mkali unaua.Pikipiki ilikuwa katika mwendo mkali na gari ilikuwa kwenye mwendo mkali pia.Ukaguzi wa eneo la tukio pamoja na vyombo husika itasaidia kupata ukweli mzima.
Hauja kosea chief....
Hii ajali inaonekana wazi kwamba ili sababishwa na uzembe, pamoja na mwendo kasi
 
N
Asante mkuu, lakini ni tukio lililo kataa kufutika kwenye akili yangu...[emoji20] [emoji20]
Naamini unapata nafuu /wepesi pale unapolizungumzia.
Usiliweke siri sana.
Watu tunatofautiana kwenye ku grieve ...
Pole sana.... (NaUnGa MkOnO hOjA) [emoji18]
 
Waliokufa ni familia yako au?
Haikua familia mkuu, bali walikua watu wangu wa karibu.... na mbaya zaidi nilikua ndio nimechukua gari la mkopo na hata mwezi moja ilikua haijapita haki
 
Inaonekana umeunganisha PICHA NA STORY yako...kwnz hiyo gari na hiyo PIKIPIKI inaonekana sio hapa kwetu nyumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…