Motor rider aliruka kwa juu na kuenda mbali upande wa pili, hapo ni baada ya impact kubwa alio kutana nayo kwenye ubavu wa motokariDuu! naona pikipiki imeingia katikati ya gari,sidhani kama kuna aliyepona pale,labda dereva pikipiki.
R.I.P
Sielewi nilicho kiandika mkuu.....sasa unaelewa ulichokiandika ?
hueleweki ,....hapo kuna muhtasari kwamba mlipata ajali wafariki ndg zako (not sure kama ni ndg au jamaa/washkaji)
any ways pole, kuna maisha baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu au ndugu....maana njia yetu ni moja!
jifunze kusimulia jambo, vinginevyo haina maana kuileta hapa
Pengine nami starehe ndio iliniokoa, asante kwa kuwaza nje ya box mkuu...Usingeenda kwenye starehe na kuwemo ndani ya gari pengine tusingekujua humu ndani, Mungu huwa ana makusudi yake mkuu.
Kidonda cha kufiwa huwa hakiponi, kufiwa kusikie tu kwa jirani.
Pole Sana mkuu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu.