Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)


Kutambika hatuachi ndio asili yetu.
 
Enjoy maisha bana utakufa bure kwa vitu visivyo na maana binadamu ndo walivyo sanasana pambana upande wako na familia yako watu wengn huwez kuwafundisha sabu ndo maisha wamekulia na kuishi ktk jamii zao
Tunaelimishana tu mkuu, maisha lazima yaendelee
 
Namba nane inanuhusu mimi ni mshamba sana sometimes
 
Umasikini na ujinga , bado ni kikwazo kikubwa kwa Tz yetu. Elimu yetu, itufunze kujiuliza kila jambo lina manufaa au madhara gani ili tuwe na uelewa wa kuchagua yenye manufaa zaidi.
Uliyoyaeleza hapa yote yanaonesha, bado hatujastaarabika, tunafanya mambo bila kujua undani wake, zaidi ni kwa kuiga.
 
Mbona kunawatu wamezaliwa downtown na kukulia huko ila Bado wanaendekeza ushamba na uchawa
 
Kikubwa serikali iwekeze katika kuwapa elimu raia wote angalau Kila raia awe amemaliza chuo kikuu. Bila hivyo ujinga na ushamba hautaisha hata Yesu akikuja Leo .
Unajua elimu sio lazima iwe ya chuo kikuu? Nchi hii inaongozwa na wenye elimu mpaka ya udaktari wa filosofi, ila inaendeshwa vipi, kila siku wizi, rushwa, ubadhirifu, kutotii Katiba, sheria na taratibu.
Kinachokosekana ni nidhamu, uadilifu na hekima, na zaidi utu!.
 
Hayo ni maoni yako, unajua vitu vingine ni tabia za watu tuu, kuna wengine wamezaliwa mjini na wapo kama unavyosema kwahio hayo ni mitazamo yako au vitu unavyochukia
 
Kula muhindi, karanga,ndizi kiporo na kurusha mabaki babarani wakati gari inatembea.
Kutupa takataka mda wa usiku maeneo ya barabara.
 
The probability that a person is ignorant is independent of any other characteristics of that person.

Ignorance is a variable that remains constant in all populations.

Every category you can imagine e.g politics, religion , education within the society has a fixed percentage of ignorant people.
 
Kula muhindi, karanga,ndizi kiporo na kurusha mabaki babarani wakati gari inatembea.
Kutupa takataka mda wa usiku maeneo ya barabara.
NDIYO MAANA KUNA FINES SIKU HIZI, KUDHIBITI HUO USHAMBA
 
INDEED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…