Bado pungufu 1 tuu nichomoe betri

Bado pungufu 1 tuu nichomoe betri

Wauza mbogamboga na matunda wako wengi tu mtaani hawajaolewa. Au Kama vipi nenda kabahatishe huku
 
mkuu we fikiri tuu una mshahara na anakuwa mgumu kuelewa ..siku ukiwa huna je hivi unadhani atakuambiaje ? soamalama za nyakati mkuu
Ndo hvo mkuu,..yaan hapa nawaza nirud square1 tena dah
 
Wakuu,nna majukum mazito ambayo yanapelekea nichungulie sana pesa.
Na ukizingatia uchum umeyumba.
Tatzo ni kwamba bint niliyenaye mana niliamua nifanye chaguo kat ya wale kadhaa

Huyu bint ana vigezo vya kuumbika ila AKILI HANA,..na shule hana
Upembuz yakinifu ulimweka huyu na mapunguf yake lakin aliwazid wenzie

Tatzo AKILI HANA,,,anaweza ngangania kitu tena cha matumiz ya pesa hata kama huna na anajua huna.

Kaul yake hii inanikera sana
"Kwan tareh si ndo hiz"

Anamaanisha mshahara...yaan yeye anaupangia matumiz mshahara wangu..
Hata ukimkanya hii kaul huwa anairudia sana.

Hii inanipelekea niwakumbuke sana ma x

Na NMEAMIN KWEL KUISH NA MTU AMBAE HAMJAZALIWA PA1 NI NGUM SANA

Sjui wenzangu mnawezaje kudeal na changamoto...hapo sijamuoa bado
Yuko kimaslai huyo piga chini
 
Kwani tarehe si ndo hizi , (ndoa sio ajira)
Una mapungufu makubwa adi nakuhurumia.....wife material aje kwako afanye usafi, akupikie, akufulie, ajibebeshe ata vimboga na matunda, yeye akuombe ata ka lotion ka efu20 upige tarehe weeeee adi akulumbushe kwan tar si ndo izi baby???? Hahahhaaaa oa dada zako usimchoshe mtoto wa watu
 
Ulikuwa unatumia vigezo gani kama hill la akili/kujitambua halikuwa mojawapo..!!
 
Yale ni makandokando kila mwanaume huwa nayo
Kwa hiyo yeye umemfanya mchepuko halafu ako kadangaji kalikokufanya mpaka ukaleta huu uzi hapa ndio unakaona kamaana hadi unataka kukaoa!?
 
Na ujue hata wewe kuna vitu vinamkera ila anavumilia tu ila hawezi kuwaza mambo ya waliozaliwa pamoja........we ushaanza kuwaza dada zako
Dah!.. hata kama.. hyo kusema tareh ndio hizi haijakaa poa kabisa. Bora angekua anasemea pesa yake, Yani asipangiwe.
Huyo mkazie sura tuu mtoa mada, lazima awe na discipline kwakwel.
 
Tatizo unataka mwanamke mkamilifu yaani aliye mzuri na aliye na akili kwa pamoja wakati unajua ni ngumu kumpata, hamna namna chagua kimoja kati ya mwanamke mzuri lakini mbumbumbu au mwanamke mbaya lakini mwenye akili ni wewe tu kuangalia kipi utavumilia kati ya hivyo usilazimishe kupata vyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom