Bado natafuta kazi

Dinnah

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
791
1,058
Habari zenu wakuu bado natafuta kazi nina uzoefu wa kazi zifuatazo duka la dawa nina cheti cha addo, duka la kawaida,M~pesa,kazi ya mgahawa isiyo ya kutembea kutafuta wateja,naweza kupika,kuhudumia na kuwa cashier,nitafanya yoyote itakayo patikana kati ya Hizo,aliye serious,naishi Mbagala.
 
Habari zenu wakuu bado natafuta kazi nina uzoefu wa kazi zifuatazo duka la dawa nina cheti cha addo, duka la kawaida,M~pesa,kazi ya mgahawa isiyo ya kutembea kutafuta wateja,naweza kupika,kuhudumia na kuwa cashier,nitafanya yoyote itakayo patikana kati ya Hizo,aliye serious mawasiliano 0745047876,naishi Mbagala.
Kazi ya m-pesa Kivule uwe na wazamini wawili barua ya serikali ya mtaa wako pia wazamini wako.

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
fanya mpango ujiajiri mdogo wangu,, pika hata chapati alafu watu watakuja kununua tu, bado binti mdogo,,

mtaji wa chapati hauzidi hata elf 20000, ongea na dada yako akupatie
 
fanya mpango ujiajiri mdogo wangu,, pika hata chapati alafu watu watakuja kununua tu, bado binti mdogo,,

mtaji wa chapati hauzidi hata elf 20000, ongea na dada yako akupatie
Wazo zuri nimelipenda ila eneo nililopo kwa hiyo biashara Haifai labda nibuni biashara nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom