Bado nasubiri matokeo

Bado nasubiri matokeo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11745375_1464979660489295_1307565214781647394_n.jpg


Jamani Viongozi kama huyu anafaa tena kujiuzulu kukaa nyumbani na wajukuu zake kuliko kwenda kusinzia bungeni anachangia kitu gani hapo bungeni? Waziri au Mbunge Mzigo huyu Rais ajae anatakiwa asiweke Uzito kama huu asanteni.
 

Attachments

  • wasira.jpg
    wasira.jpg
    26.3 KB · Views: 318
tutarajie kumuona katika bunge lijaloo akiendeleza usingizi teh
 
Back
Top Bottom