Bado nampenda

Bado nampenda

Piga chini kama bado anampenda means anaweza akampa kiduchu japo kwenye majani!
 
wasalaam wote wakubwa kwa wadogo

nimeona leo niwashirikishe mkasa huu ulionikuta ile angalau nipate mitazamo mbali mbali kutoka kwa watu wenye uzoefu nayo.
siyo mtaalam sana wa mahusiano na nina wivu kiasi.

ni hivi,
leo katika story na mpenzi wangu akagusia kuhusu kukutana na ex wake ambaye ni wa long time japo kwa maelezo ya mpenzi wangu huyu aliniambia hawakuwahi kukutana kimwili.

kutokana na hofu ya kuchapiwa nikamuuliza kama bado anampenda akanijibu kwamba anampenda japo hawezi kumpa nafasi tena kwasababu ya tabia yake......
basi baada ya kupata jibu hilo sikuongea chochote zaidi ya kukaa kimya mpaka sasa!

je! nifanyeje na kakiri kwamba bado anampenda japo anajitetea hawezi tena kuwa nae!!?????

je ni kosa kumuuliza swali kama hilo?

nawasilisha....
Yoouuweehh Pole sana nlikuwa nasikia tuu kumbe ni kitu Serious dat inabidi "MOYO USUKUME DAMU NA SI VINGINE" pendo haligawanyiki into two equal pieces.! Anyway kama umelipenda jibu jus chill but mm angenipa jibu la uhakika tena current sio la kusema anampenda "wat a"...?
 
Cjui watu mnapataga wao huo moyo wakuskiliza hizo story
Za x wa mpenz wako
 
japo kwa kusema bado anampenda nahisi kama ni bonge la dharau kwangu na sidhani kama ameshindwa kupotezea feeling zake ..... hata wengine kuna sehemu tulipita zamani but once we are done there is no more love left!
but kwa hili..... am so scared.....
 
wasalaam wote wakubwa kwa wadogo

nimeona leo niwashirikishe mkasa huu ulionikuta ile angalau nipate mitazamo mbali mbali kutoka kwa watu wenye uzoefu nayo.
siyo mtaalam sana wa mahusiano na nina wivu kiasi.

ni hivi,
leo katika story na mpenzi wangu akagusia kuhusu kukutana na ex wake ambaye ni wa long time japo kwa maelezo ya mpenzi wangu huyu aliniambia hawakuwahi kukutana kimwili.

kutokana na hofu ya kuchapiwa nikamuuliza kama bado anampenda akanijibu kwamba anampenda japo hawezi kumpa nafasi tena kwasababu ya tabia yake......
basi baada ya kupata jibu hilo sikuongea chochote zaidi ya kukaa kimya mpaka sasa!

je! nifanyeje na kakiri kwamba bado anampenda japo anajitetea hawezi tena kuwa nae!!?????

je ni kosa kumuuliza swali kama hilo?

nawasilisha....
Haikua sawa kumuliza kama bado anampenda au LAA,as long as ameamua kua na wewe basi jua kama kwa sasa ni nafasi yako na wala ustake kujua kama anampenda au hampendi,au hijiamini mkuu kama unapendwa? mara nyengine usimuulize chochote hata akikwambia kakutana nae tena kwenye Dala dala kaa kimnya au anza kufikiria njia ya kutoka...
 
wasalaam wote wakubwa kwa wadogo

nimeona leo niwashirikishe mkasa huu ulionikuta ile angalau nipate mitazamo mbali mbali kutoka kwa watu wenye uzoefu nayo.
siyo mtaalam sana wa mahusiano na nina wivu kiasi.

ni hivi,
leo katika story na mpenzi wangu akagusia kuhusu kukutana na ex wake ambaye ni wa long time japo kwa maelezo ya mpenzi wangu huyu aliniambia hawakuwahi kukutana kimwili.

kutokana na hofu ya kuchapiwa nikamuuliza kama bado anampenda akanijibu kwamba anampenda japo hawezi kumpa nafasi tena kwasababu ya tabia yake......
basi baada ya kupata jibu hilo sikuongea chochote zaidi ya kukaa kimya mpaka sasa!

je! nifanyeje na kakiri kwamba bado anampenda japo anajitetea hawezi tena kuwa nae!!?????

je ni kosa kumuuliza swali kama hilo?

nawasilisha....
Unaanzaje kumuita mtu EX wako kama hamkugongana..?! Kama ni hivyo, basi humu ndani kila mmoja ana ma EX kibao.. To me EX MAANA YAKE MGEGEDO ULIHUSIKA.

BY THE WAY, HAWALA HATONGOZWI..
 
wasalaam wote wakubwa kwa wadogo

nimeona leo niwashirikishe mkasa huu ulionikuta ile angalau nipate mitazamo mbali mbali kutoka kwa watu wenye uzoefu nayo.
siyo mtaalam sana wa mahusiano na nina wivu kiasi.

ni hivi,
leo katika story na mpenzi wangu akagusia kuhusu kukutana na ex wake ambaye ni wa long time japo kwa maelezo ya mpenzi wangu huyu aliniambia hawakuwahi kukutana kimwili.

kutokana na hofu ya kuchapiwa nikamuuliza kama bado anampenda akanijibu kwamba anampenda japo hawezi kumpa nafasi tena kwasababu ya tabia yake......
basi baada ya kupata jibu hilo sikuongea chochote zaidi ya kukaa kimya mpaka sasa!

je! nifanyeje na kakiri kwamba bado anampenda japo anajitetea hawezi tena kuwa nae!!?????

je ni kosa kumuuliza swali kama hilo?

nawasilisha....
Huyo si mwanamke, u are wasting your time trustvme!
 
aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi na wala sio bwana harusi... bado mnanishauri harusi???? mm nikiona mtu anagongewa naona kama nagongewa mm so baada ya miaka kadhaa ijayo ndo mniulize naoa lini!!!!!
 
Back
Top Bottom