Chadema inakujaje hapo mkuu? I hate this kind of talk. Mimi ninapinga fikra za huyu waziri kwa sababu hiyo hiyo ya kutengeneza mchawi wakati sote tulikuwepo wakati marehemu anauliwa! Sujui unanielewa? Kama una ndoto za uDC kawaone akina Bashite na Shoza wakupe mbinu.Hii serikali ya awamu ya Tano tutaikumbuka kwa vituko...lakin naomba Chadema msinisahau kunipa UDC baada ya Tarh 26/04
Good material. Ila nadhani hujanielewa. Sizungumzii maandamano wala sikufungua uzi ili kutia moto wa maandamano. This is an eye opener thread for those who don't know the boy in question! Think big bro Elungata!Nimekumbuka mambo ya Ukraine,
raia walikua wanaandama,
polisi nao wakawa pale kuzuia maandamano,
kumbe kuna majasusi wa mossad nao wamepanga kuharibu amani ya ukraine,
wakaweka sniper maghorofani,
wakati maandamano yakiendelea na askari wapo wakijaribu kuyazuia kwa amani,
ghafla askari wakaanza kushambuliwa kwa live bullets,
askari kuona vile,wakafikiri waandamanaji ndo wanawashambulia,
wakafungulia mvua ya risasi,
raia nao kuona wanashambuliwa na watu wamekufa wengi,mori ukawapanda,
kilichofuata ni history.
Kwahiyo katika kuandamana kunaweza kuwa na third party yenye ajenda binafsi,pengine ndo maana kina mwigulu hawataki kusikia.
Hivi maandamano yatakuwa mtandaoni au ni ya live?
INA maana ujui Tanzania Revolution itakuwa Lin?Chadema inakujaje hapo mkuu? I hate this kind of talk. Mimi ninapinga fikra za huyu waziri kwa sababu hiyo hiyo ya kutengeneza mchawi wakati sote tulikuwepo wakati marehemu anauliwa! Sujui unanielewa?
Bashite zali lilimwangukia wakati wa uchaguzi alikuwa team Membe sasa hivi ni first born sonHii serikali ya awamu ya Tano tutaikumbuka kwa vituko...lakin naomba Chadema msinisahau kunipa UDC baada ya Tarh 26/04
Baada ya Revolution ya Tarh 26 ...akuna zali atolopata ...maana nimepewa taarifa kuwa kuna back up nzr kwa youthsBashite zali lilimwangukia wakati wa uchaguzi alikuwa team Membe sasa hivi ni first born son
Isipotokea ipo siku,wajitahid tu kuongeza spid kukaza vyuma ili watu waimbe wimbo mmoja.Je, kweli watanzania hawa watajitokeza?
Kwa kauli ya juzi kajifunua uhalisia wake,mbuyu ukiondoka nao watafutika kwenye ramani ya siasa,maana teknology utunza history.Kiukweli mwigulu si mtu mzuri, , ni mtu katili n.a. mwenye kibri ,,
Bado hata sasa ana ndoto za urais ndiyo maana ameingiza matumizi ta nguvu za dola kwenye chaguzi ili ikitokea akapendekezwa baada ya Kiongozi wa Malaika basi ashinde kwa mtutu wa bunduki.Kuna maandishi madarajani yameandikwa kwa mkaa mweusi "MWIGULU RAIS 2015" akili yake nae kama yale masizi ya mkaa tu.
Specific size shithole kabisa
Bado hata sasa ana ndoto za urais ndiyo maana ameingiza matumizi ta nguvu za dola kwenye chaguzi ili ikitokea akapendekezwa baada ya Kiongozi wa Malaika basi ashinde kwa mtutu wa bunduki.
Ndiyo. Unaweza kuwa unamdai mke haki yako ya kikatiba nae anaanza kukuzunguusha na kuzunguka kitanda ili usimshike. Mkionekana na jirani anaepiga chabo. Kwisha habari yenu.Kama mtu anakwambia kuzunguka tu kitanda chumbani ni maandamano unadhani yuko Sawa!?