Bado naishangaa (admire) Urusi

Mkuu dunia nzima ujasusi si namba mojaMmarekani, Pakistan kamzidii, orodha ya kijasusi wanaongoza duni ni ISI ya Pakistan ndiyo inaongoza.

Top 10 Most Powerful Intelligence Agencies In The World 2018

Pakistan, wanaoingiliwa na mtu kuuliwa tena ndani kabisa ya nchi yao tena wasijue hiyo nayo ya kusema.

Hata hii ya kwetu wakati wa Nyerere ilikuwa nzuri imekuja tu kuharibiwa na hawa watawala waliofuata kwa kuiondoa kwenye madhumuni yake na sasa imekuwa "Assassination Syndicate".
 
Pitia clip hii utaijua zaidi kidogo Russia
Dah! Kazan the depth destroyer.....hizi ndio silaha za maangamizi kwakweli....Weapons Of Mass Destruction, naona kama Sadam Hussein walimuonea kwa kusema anazo silaha za maangamizi, he had nothing compared to this Russian Submarine, seriosly!

Binadamu tukitaka kuangamiza dunia yetu tunayoishi wenyewe ni suala la saa chache tu dunia inakua majivu! Inaogopesha kwakweli
 
Tena huyo Marekani kapanda mwaka huu hadi namba mbili, alishika nafasi ya nne. ISI ya Pakistan akiongoza, akafuatia RAW ya India, akaja MOSSAD ya Israel ndiyo ikaja CIA.

Wanaume wa kazi hawana tambo za media wao ni kimyakimya
Hao wa Pakistan walishindwa kujuwa Bin Laden anafuatwa ndani Pakistan?Achana na fake news.
 
Naam kaka, kabisa kabisa!
 
Mkuu, kuna ukweli ambao team marekani huwa wanakuwa wagumu wa kukubali. Kwanza kabisa Vita ya kumtoa Hittler ni mrusi ndo alifanya kazi kubwa sana. America alikuja baadaye wakati mziki unaishia. Pia kwenye kuiba technoloji ya siraha enzi hizo kutoka Germany hasa kombora za rocket, russia ndo alikuwa wa kwanza kupata tech hiyo na wataalam wa hittler ingawa Marekani nao walichukua pia.
Kuna kipindi Russia ilishasema ina monitor sayansi yote ya dunia kwa ujumla na haitaruhusu nchi yoyote iwe juu kitechnolojia kuizidi. Mambo ya ubabe, kuiba mafuta ya waarabu kuwait, iraq, libya ni mambo ambayo anayafanya marekani lakini siyo kuwa juu kisanyansi kuizidi russia.
Russia ndo wa kwanza kwenda kwenye space, na ndo ana vituo huko mwezini hata kuwauzia wengine mafuta nk.
Ki inteligensia jamaa wako mbali sana na wana watu wao all over europe na marekani. Lakini ni ngumu sana CIA au FBI kuingia ndani kabisa russia.
Ki electronic na internet russia ni rahisi sana kuingia kwenye system za marekani kuliko marekani kuingia kwenye system zao. Ndo maana unaona kila kukicha marekani analia kama mtoto kwamba russia anaingilia mifumo yao, kuanzia mifumo ya maji, umeme, etc.
Kwa hiyo kiualisia huwezi kulinganisha tech ya russia na marekani. Lakini ki propaganda na siasa ndo unaona kama marekani wapo juu
 
Nashawishika kukubaliana na uchambuzi wako mkuu. Russia sio wapiga propaganda kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Utaona popote pale ambapo Marekani inafanya ubabe wake Russia akitia mguu Marekani wanaufyata na kurudi nyuma kisha wanaanza kupiga propaganda kama kule Syria.

Nadhani leo hii kama sio Urusi Assad angekua kashauliwa au kapinduliwa
 
Sio saa Ni dk chake tu dunia kwisha....
 
Unasema Marekani (CIA) Ni ngumu kuingia ndani ya Urusi wakati CIA Mara nyingine ndo wanakua wa Kwanza kuwajulisha hao wa Russia kwamba wanataka kushambuliwa na magaidi bila wao kujua. Mwaka Jana waliijulisha Urusi kua inataka kushambuliwa na Magaidi kule St Petersburg bila wenyewe kujua lolote mpaka Putin akampigia simu Trump kumshukuru kwa kazi waliyoifanya CIA ndani ya Urusi CIA Helping Russia Prevent Terror Attack 'Outstanding Example of Cooperation'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…