TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
Story za hawa zimejaa uongo mwingi!!Osama na Mullah Mohamed Omary
Story za hawa zimejaa uongo mwingi!!Osama na Mullah Mohamed Omary
Thankyou brother your post gives us a real insight into the matter.Naomba na mimi nichangie kidogo katika hii mada japo kaujuzi kangu ni kadogo
Tukianza na ISI
Hii inaweza kuwa the best or sio the best in the world kwasababu kuu zifuatazo
Mpaka sasa kwenye medani ya ujasusi sidhani kama kuna scale maalumu inayotumika kutambua nani bingwa na nani sio bingwa kama ilivyokuwa kwenye mpira, uchumi, maendeleo na mambo mengine yenye mizani
Kwa kutumia midhani chache tu unaweza kutambua kuwa world scale bado inayumba
kwa mfano.
kwenye nyanja za teknologia nadhani CIA hainaubishi inaongoza
kwa ukatiri ni FSB
Kwa ufanikishaji bila makele MI6
Kwa kufanikisha kupangua njama za maadui Mossad
Kutokutabirika na kutokuosomeka na wapinzani wake ni ISI
Sasa najikita kidogo kwanini takwimu nyingi zina weka pakistani juu ya hata mossad,cia N.K
Kulingana na kufanikisha, mazingira iliyopo nchi na hata ukubwa wa uchumi na maadui wanayoizunguuka ni ISI inapewa crediti nyingi.
wanasema ISI inatengeme vitu vikuu vitatu kuwashinda maadui na vyo ni unpredictability, ruthlessness and a lack of transparency hhivivitu vimeiwezesha ISI ku triumph in whatever it is tasked to do.
Unpredictability inachangiwa na mfumo wake. Director General always ni military man na ni Lieutenant General from the Pakistan Army. Huoongoza only kwa miaka 3 basi na lazima apishe mwingine ashike nafasi hiyo. Huyu D.G anaongoza division kadhaa amabazo yeye binafsi ndo anazijua the lest hawajuani na hawajui wenzao wako wapi na wanafanya nini. Kingine pakistani ina mchanganyiko wa waarabu na wahidi na wachina kitu kinachosaidia kufanya infiltration. Kikubwa zaidi nikuwa ISI ni part of military institution so unaweza kuona utofauti hapo.
Matukio makuu yanayo ifanya ISI kuogopewa ni uwezowake wa kumplant Abdul Qadeer Khan in Netherland akiwa kama research scientist katika chuo cha Amsterdam kumbe ametumwa kuiba teknolojia ya atomic bomb. Agent wote duniani hawakuweza kung'amua hilo mpaka pale pakistani ilipo test the first atomic bomb CIA walishangazwa sana.
In the year 2008 mwezi wa 11 tarehe 26 walifanikisha Mumbai attacks na kushangaza Indian Int. services.
Kitu kingine kikubwa kinacho wapa sifa ni uwezo waliouonyesha kwa kumficha Osama na Mullah Mohamed Omary for more than decade huku MI6,CIA na Mossad wakishirikiana kuwatafuta. Baada ya muda ISI ilimtoa kafara Osama kwa pesa za kutosha toka CIA.
Kingine kinachofanya western media kuwapa credit ISI ni uwezo wa kutrain terrosist group around the world bila kuacha finger prints zao. Mfano wa magroup hayo ni Lashkar-e-Taiba, Hizbul Mujahideen, Jaish-e-Mohammed, Haqqani network and others.
Kingine kikubwa ni uwezo walioonyesha kipindi cha SOVIET AFGHAN WAR kwakumsaidia mullar omary kuchukua nchi bila US-CIA kujua.
Lastly ISI operate under kivuli cha dini so ningumusana ku-infiltrate.
Walikua wanatumika kama ghosts za halalisha baadhi ya operations za CIA na MOSSAD?Story za hawa zimejaa uongo mwingi!!
ISI walikuwa wanashirikiana sana na CIA,has a kipindi soviet union ilipoiingia Afaghnistan,hawa ISI ndo wakipikea fund na silaha toka marekani kisha wanawatrain mujahidina akina bin laden na kuwapa silaha za kupambana na mrusi,kila kitu toka marekani kilipita mikononi mwa ISI,lengo likiwa kumtepetesha mrusi kiuchumi na kijeshi kwa kufanya ukaliaji wake afaghnistan use wa gharama kubwa
Nchi wanachama wa NATO wana idadi ya watu kama milioni 800 hivi. Urusi hadi kufika mwaka 2016 alikuwa na watu milioni 144 tu. Sasa hapa mtu yoyote mwenye akili timamu lazima ajiulize ni kwanini watu milioni 144 wawaogopeshe watu zaidi ya milioni 800 ???Propaganda ina nafasi kubwa sana katika mataifa makubwa. Naam, mada nzuri sana. Ila kiujumla, inaonyesha Russia wako vizuri sana. Maana kuanzishwa kwa NATO kulilenga kuzuia uwezo wa Russia ....kwenye mambo kama hayo. Nchi zaidi ya 20, dhidi ya nchi moja? Kama mtoa mada alivyonena, bila Shaka kuna mengi mno...tusiyoyajua.
Nchi wanachama wa NATO wana idadi ya watu kama milioni 800 hivi. Urusi hadi kufika mwaka 2006 alikuwa na watu milioni 144 tu. Sasa hapa mtu yoyote mwenye akili timamu lazima ajiulize ni kwanini watu milioni 144 wawaogopeshe watu zaidi ya milioni 800 ???
Tena tunapokuja kwenye swala la Uchumi, umoja wa NATO una nchi kama Marekani, Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ambazo ni Mataifa yenye viwanda vikubwa na yanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa dunia. Mataifa matatu ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Ulinzi na Usalama la umoja wa Mataifa wenye kura za VETO.
Huku ukika zaidi taasisi zote kubwa za kiuchumi za Bretton Woods zinaongozwa na wao. Ambapo Raisi wa World Bank lazima awekwe na Marekani huku Raisi wa International Monetary Fund lazima awekwe na Ulaya. Sasa mpaka leo Mrusi anadunda tu japo kwa shida, lazima ana kitu cha ziada.
Russian strategic nuclear forces
MKUU KOMBORA MOJA LA SARMAT ICBM LIKITUMWA LONDON LINA KULA NCHI NNE
UK YOTE
UFARANSA HALF
BELGIUM YOTE
HOLLAND YOTE
SASA HAPO LAZIMA MUWEWADOGO
The Sarmat ICBM is one of the six new Russian strategic weapons unveiled by President Vladimir Putin on 1 March 2018.
This is amazing! Absolutely fantastic mkuu. Hivi ile protocol ya Warsaw Pact bado in exist? Ilikua na mfanano na NATO yaani something like Counter Organisation to NATO? Urusi ilikua ni mwanachama? How powerful is/was it?
Ok, asante sana mkuu. Hao BRICS ni more of an Economic Cooperation though mataifa kama India na South Africa hapo yanafaidika strategically kwenye defense issues piaWARSAW PACT ILIANZAKUFAA MNAMO MWAKA 1999 BAADA YA CZECH, HUNGARY NA POLAND KUJIUNGA NA NATO NA MWAKA 2004 BULGARIA, ESTONIA, LATVIA, LITHUANIA, ROMANIA AND SLOVAKIA NAO WALIJIUNGA NA NATO.
KUBALANCE POWER,IKAANZISHWA SHANGHAI COOPERATION ORGANIZATION IKIWA NI MABORESHO YA SHANGHAI FIVE.NA KUNA BRICS PIA. SO TOGETHER WANAKUWA NA STRATEGIC DEFENSE AND ECONOMIC BALANCE KU COUNTER NATO
Ok, asante sana mkuu. Hao BRICS ni more of an Economic Cooperation though mataifa kama India na South Africa hapo yanafaidika strategically kwenye defense issues pia
Dah! Hapo South Africa sio wenzetu kumbe....Ingawa nashangaa kitu kimoja hapo kwamba India na South Africa kiuchumi kama ziko karibu zaidi na Western Block. Ninavyo elewa biashara kati ya nchi hizo na Ulaya na Marekani ni kubwa zaidi kulinganisha na Urusi...labda kidogo Chinaagainst it or its allies,
upo sawa wengine ni mashabiki kama wa mpira,russia ni shida.Propaganda ina nafasi kubwa sana katika mataifa makubwa. Naam, mada nzuri sana. Ila kiujumla, inaonyesha Russia wako vizuri sana. Maana kuanzishwa kwa NATO kulilenga kuzuia uwezo wa Russia ....kwenye mambo kama hayo. Nchi zaidi ya 20, dhidi ya nchi moja? Kama mtoa mada alivyonena, bila Shaka kuna mengi mno...tusiyoyajua.
kwa muktadha huu basi ISI ni hatari zaidi,Naomba na mimi nichangie kidogo katika hii mada japo kaujuzi kangu ni kadogo
Tukianza na ISI
Hii inaweza kuwa the best or sio the best in the world kwasababu kuu zifuatazo
Mpaka sasa kwenye medani ya ujasusi sidhani kama kuna scale maalumu inayotumika kutambua nani bingwa na nani sio bingwa kama ilivyokuwa kwenye mpira, uchumi, maendeleo na mambo mengine yenye mizani
Kwa kutumia midhani chache tu unaweza kutambua kuwa world scale bado inayumba
kwa mfano.
kwenye nyanja za teknologia nadhani CIA hainaubishi inaongoza
kwa ukatiri ni FSB
Kwa ufanikishaji bila makele MI6
Kwa kufanikisha kupangua njama za maadui Mossad
Kutokutabirika na kutokuosomeka na wapinzani wake ni ISI
Sasa najikita kidogo kwanini takwimu nyingi zina weka pakistani juu ya hata mossad,cia N.K
Kulingana na kufanikisha, mazingira iliyopo nchi na hata ukubwa wa uchumi na maadui wanayoizunguuka ni ISI inapewa crediti nyingi.
wanasema ISI inatengeme vitu vikuu vitatu kuwashinda maadui na vyo ni unpredictability, ruthlessness and a lack of transparency hhivivitu vimeiwezesha ISI ku triumph in whatever it is tasked to do.
Unpredictability inachangiwa na mfumo wake. Director General always ni military man na ni Lieutenant General from the Pakistan Army. Huoongoza only kwa miaka 3 basi na lazima apishe mwingine ashike nafasi hiyo. Huyu D.G anaongoza division kadhaa amabazo yeye binafsi ndo anazijua the lest hawajuani na hawajui wenzao wako wapi na wanafanya nini. Kingine pakistani ina mchanganyiko wa waarabu na wahidi na wachina kitu kinachosaidia kufanya infiltration. Kikubwa zaidi nikuwa ISI ni part of military institution so unaweza kuona utofauti hapo.
Matukio makuu yanayo ifanya ISI kuogopewa ni uwezowake wa kumplant Abdul Qadeer Khan in Netherland akiwa kama research scientist katika chuo cha Amsterdam kumbe ametumwa kuiba teknolojia ya atomic bomb. Agent wote duniani hawakuweza kung'amua hilo mpaka pale pakistani ilipo test the first atomic bomb CIA walishangazwa sana.
In the year 2008 mwezi wa 11 tarehe 26 walifanikisha Mumbai attacks na kushangaza Indian Int. services.
Kitu kingine kikubwa kinacho wapa sifa ni uwezo waliouonyesha kwa kumficha Osama na Mullah Mohamed Omary for more than decade huku MI6,CIA na Mossad wakishirikiana kuwatafuta. Baada ya muda ISI ilimtoa kafara Osama kwa pesa za kutosha toka CIA.
Kingine kinachofanya western media kuwapa credit ISI ni uwezo wa kutrain terrosist group around the world bila kuacha finger prints zao. Mfano wa magroup hayo ni Lashkar-e-Taiba, Hizbul Mujahideen, Jaish-e-Mohammed, Haqqani network and others.
Kingine kikubwa ni uwezo walioonyesha kipindi cha SOVIET AFGHAN WAR kwakumsaidia mullar omary kuchukua nchi bila US-CIA kujua.
Lastly ISI operate under kivuli cha dini so ningumusana ku-infiltrate.
Nimewapa heshima mkuu, ni kweli hapo unaweza kuwaweka kwenye daraja sawa pamoja na kina CIA na hata M16 japo wanazidiwa kitechnolojiakwa muktadha huu basi ISI ni hatari zaidi,
sisi hatutaki teknolojia tunaangalia kazi.Nimewapa heshima mkuu, ni kweli hapo unaweza kuwaweka kwenye daraja sawa pamoja na kina CIA na hata M16 japo wanazidiwa kitechnolojia
Ingawa teknolojia inamchango mkubwa kwenye intelligence business hao ISI nimewavulia kofia kwa mission zao walizo zi accomplish wakitumia resource walizokua nazo locallysisi hatutaki teknolojia tunaangalia kazi.
hivyo basi wao kwa ujuzi uliotajwa hapo wala hawahitaji teknolojia nyiingi sana wanapata kidogo wanachanganya na walivyojaliwa na muumba na mambo yanaenda marekani nao saa nyingine vuvuzela sana.Ingawa teknolojia inamchango mkubwa kwenye intelligence business hao ISI nimewavulia kofia kwa mission zao walizo zi accomplish wakitumia resource walizokua nazo locally
mfano GDP by PPP china anamzidi USAUchambuzi wako uko makini sana mkuu. Kwa hiyo hao jmaa wanawekeana tu heshima ingawa Marekani wakati mwingine inataka kujionyesha kwa mataifa mengine kua hawana Taifa wanaloliogopa
Ingawa naskia China pia kwa sasa inaogopewa na pande zote mbili kwa kua kwanza hua hawatoi statistics za kweli katika mambo yao mengi. Hata takwimu zao kuhusu ukuaji wao wa uchumi kuna watu wanazitilia shaka kua za uongo, eti wana underestimate muwaone bado wapo chini ingawa kiuhalisia yaweza kua sawa au hata kuipita America na kua the first economy in the world na military-wise wapo juu sana
Inawezekana kabisa mkuumfano GDP by PPP china anamzidi USA