Bado naishangaa (admire) Urusi

Tena huyo Marekani kapanda mwaka huu hadi namba mbili, alishika nafasi ya nne. ISI ya Pakistan akiongoza, akafuatia RAW ya India, akaja MOSSAD ya Israel ndiyo ikaja CIA.

Wanaume wa kazi hawana tambo za media wao ni kimyakimya
sasa mkuu huyo MOSSAD auongoze dhidi ya CIA huku wenyewe huwa wanapewa msaada na hao CIA
 
Na mimi nilikua nashaangaa, hiyo Pakistan ina nini cha zaidi? Technolojia anampita Marekani? Mbona kuna oparations zingine za kijasusi hua zinafanywa na Marekani ndani ya Pakistani na wenyewe hawajui, wakija kushtuka wenzao washamliza mission yao
Pengine kuna mashambulizi mengi ya wamarekani yameshindikana sababi ya intelegensia yao, kua bora haina maana kua huwezi guswa kabisa
 
Hata NATO nao wanayo, mengi tu lakini bado wanamwogopa. Urusi ilianza kuogopwa hata kabla ya kumiliki silaha za nyuklia, Adolf Hitler alisema kwamba ni hatari kwa usalama wa Ulaya ndiyo akavamia mwaka 1941.
 
kama ni kweli urusi ilihusika aidha kwenye kampeni au kura katika uchaguzi wa marekani na brexit itakuwa ni shambulizi la kijasusi kubwa lenye mafanikio kuliko yote ktk historia ya ulimwengu,kwa cyber warfare warussi wako juu sana kuliko us,uk labda watatoka droo na israeli
 
naaam nikweli " nakubaliana nawewe " kwa hii essay yako russia watakuwa sio watu wazuri aisee
 
duuuuh kweli " CIA " Mossad" m16 ..ni makelele hao ISI ",ni watu hatari aisee
 
alaaaa kumbe ""!!
 
hivyo basi wao kwa ujuzi uliotajwa hapo wala hawahitaji teknolojia nyiingi sana wanapata kidogo wanachanganya na walivyojaliwa na muumba na mambo yanaenda marekani nao saa nyingine vuvuzela sana.
sahihi " USA. vuvuzela mnoo
 
Vice versa ni kweli ..... Hata US wana recruit ma FSB nakua double agents .

Dunia ni hii hiii!!!
 
Hiyo list inatupaje China..wakati imefanikiwa kutungua ma'agents' wa US kama mwenye manati atunguavyo kwerea kwerea kwenye shamba la mtama? ...List inawalakini!
China yupo ila si namba moja, kumi bora yupo. Tukio moja aliwapi ushindi kwa kishindo

US alichoweza ni kutumia vyombo vya habari vya nchi yake na vya washirika wake kujitangaza ana nguvu, anajitahidi sana kuficha udhaifu wake ila ukweli utabaki tu si mwenye nguvu sana..

Anga za ujasusi wanaume wa kazi hawaongei sana na kujitagaza kila kukicha kwa propaganda, wao ni action tu.
 
Mkuu,umefafanua vema sana
 
Kwa maelezo yako mkuu,inaonyesha huu mchezo ni wa kugeukana sana. Maana hujui mwenzako ana lengo gani
 
Nikweli kabisa hata Trump aliwahi kumshambulia mama Clinton kuwa nyuma ya ISIs kuna picha pia ilionyesha mpaka gari ya kimarekani ford pickup ikiwa migoni imebeba silaha na wapiganaji wa IS
 
Mkuu umemaliza kila kitu hapo, watakaobisha wabishe kivyao tu. ISI ni habari nyingine
 
Nikweli kabisa hata Trump aliwahi kumshambulia mama Clinton kuwa nyuma ya ISIs kuna picha pia ilionyesha mpaka gari ya kimarekani ford pickup ikiwa migoni imebeba silaha na wapiganaji wa IS
Mkuu ISI na ISIS ni vitu viwili tofauti. ISI ni majasusi wa Pakistan, ISIS ni kikundi cha wapiganaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…