Bado nahitaji msaada wenu

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
203
Narudi tena jamvini Kuomba msaada wa kijana wangu ambaye anaamka dhakar ikiwa imepoa akitaka kukojoa mpaka aishike
Kijana ana umri wa miaka sita, alafu anakuwa muoga kuogelea kwake ni sheeeeda, baiskeli ipo ila anakuwa muoga,
Naomba kujua ni hospital gani naweza kumpeleka kwaajili ya uchunguzi

Asanteni wadau
 
Back
Top Bottom