Mwashamba atabaki kua mlamba nyayo za viongoz wake na mpiga zumari mitandaon, over!!Unamuongelea mwashambwa?
🤣🤣🤣
Na Lucas chawa la machawa hayumoTuzidishe maombi na yeye azidishe kujikomba! Asikate Tamaa!
Ndio maana wazazi wao wanapambana. Sisi wazazi wetu walisema Siasa haziwahusu.Thekla Mkuchika
Benjamin Samwel Sitta
Simon Nyakoro Sirro
Justice Laurence Kijazi
Watoto wa wenye nchi wanaendelea kula mema ya Taifa!
Labda amepangiwa kazi nyingineNa Lucas chawa la machawa hayumo
cartel ya kundi dogo kuitawala tanganyika. Hivi wazazibai ni wangapi kwenye list?Thekla Mkuchika
Benjamin Samwel Sitta
Justice Laurence Kijazi
Watoto wa wenye nchi wanaendelea kula mema ya Taifa!
Sawa sawa na wanajeihefu wote tuseme INDAAABA!!🤣🤣🤣Mwashamba atabaki kua mlamba nyayo za viongoz wake na mpiga zumari mitandaon, over!!